the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
"Kwa sasa meli nyigi za mizigo zinakataa kuja Zanzibar kutokana na usumbufu huo huku kukiwa na mamia ya makontena Zanzibar yaliyorundikana katiba bandari ya Mombasa nchini Kenya kwa ziadi ya mwezi mmoja yakisubiri meli ndogo kuyaleta Zanzibar" - Ismail Jussa, Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalende Zanzibar
Soma pia: LIVE - Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa anazungumza kuhusu ubadhirifu katika uwekezaji wa bandari Zanzibar