mtandao wa madawa ya kulevya, pia mtandao wa kanda yetu, msafisha fedha chafu, hakuna wa kushindana naye ana fedha mingi sana.

Mkuu Cv yake ni ya kichina four lever,unga magumashi masters mzumbe she has never attend class session ila amegraduate.unachezea pesa wewe!
Inshort uwezo wake ni mdogo sana yaan ukisikia unalamba joka then jirani analia last kadi ndiyo hii!
Heh! So tumeuzwa?

Sina CV yake.
Huyo mama ni mweupe kichwani...aligombea Ubunge jimbo la Kawe 2010 na kugaragazwa na Halima...Alikuwa anaendesha kampeni zake kitoto sana...uwezo wake wa kupambanua mambo ni sawa na hakuna...wanakampeni wake walikuwa wanaporomosha matusi waziwazi..Kwa jinsi nilivyomtathimini wakati huo sijui wabunge wamevutiwa na kitu gani hadi kumchagua
mkuu umenichekesha sana hiyo ishu ya kulamba joka, afu last kadi.
Yupo kwenye ule mtandao wa kina riz-1 wa kuuza unga.
Pesa mkuu wote wameshikishwa hivi yale aliyoongea Dr. Mwakiembe hayawakuwaingia wapiga kura?kwa kifupi Cv yake inaweza kuwa mbaya kuliko ya Lusinde lakini ukiona ilivyoboreshwa kichina!
Sina CV yake.
Huyo mama ni mweupe kichwani...aligombea Ubunge jimbo la Kawe 2010 na kugaragazwa na Halima...Alikuwa anaendesha kampeni zake kitoto sana...uwezo wake wa kupambanua mambo ni sawa na hakuna...wanakampeni wake walikuwa wanaporomosha matusi waziwazi..Kwa jinsi nilivyomtathimini wakati huo sijui wabunge wamevutiwa na kitu gani hadi kumchagua
AseeMkuu Cv yake ni ya kichina four lever,unga magumashi masters mzumbe she has never attend class session ila amegraduate.unachezea pesa wewe!