MBU wa kulaumiwa ni Wenger kwa sababu yeye ndio anasajili wachezaji ambao hawana uwezo,ubahili unamfanya anasjili wachezaji wabovu.
Pia wachezaji pia wanastahili lawama Walcot juzi kakosa magoli karibu 5 hapo huwezi kumlaumu kocha
Wachezaji ambao wamejitahidi ni Song,Nasri,Arshavin,RVP but Adebayor na Fabregas msimu huu wamechemka
mkuu es,kwani hao wachezaji wachovu wamejileta wenyewe au professor ndiye aliyewaleta?pengine mimi na wewe tunawaona wabovu lakini kama yeye anawaona wanafaa jee?sasa alaumiwe mchezaji au kocha?
basi tumpe benefit of the doubt mpaka next season,lakini nakwambia mkuu wachezaji si wabovu wale wamechoka na wale watoto hawana experience ndio maana hawaamini.how comes amemuachilia flamini kwenda then ametuletea amaury bischoff,mchezaji aliyekuwa injured the whole season.i think next season ni make or break for him hilo analijuwa.angalia mkutano wake na supporter tomorrow,jamaa wamejiandaa kumpa hard time.