JUST IN: Aliyeshambulia Nyumba ya DP William Ruto auawa baada ya Kuzingirwa kwa Saa 18. Brave man!

Mtu anapanga tu kwanini auwawe?
Kupoteza ushahidi, akiojiwa anaweza kusema waliomtuma au kusingizia watu wengine!


Kwa usalama wa taifa la Kenya ilikuwa ni vyema auawe bila kusema chochote!
 
Thanks for information bt we also wanted to hear from other side b'se we dont trust the information from any kind of security services.
 
Don't believe the government there were three armed men in that house, hao ni alshabaab that were killed
 
Haya yalikuwa maandalizi ya kisaikolojia ya kupokea msiba wa Musando, Chris Chege!!!
 
Huyu alikuwa machinga wa kisomali na alikuwa anajuana na walinzi wa Ruto. Alichofanyiwa huyu chinga ni kutolewa kafara ili Ruto apewe kura za huruma kutoka kwa wakelenjin. Haiwezekani mtu mwenye panga akaiteka jumba la Ruto kwa masaa 19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…