isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Just In! Nimepokea feature hii ya Spaces muda kidogo uliopita. Kupitia Spaces kuna Host, Listener's, na mambo mengine mengi zaidi.
Twitter Spaces ni mfumo wa kuwasiliana kwa kutumia sauti likely kama ilivyo Clubhouse kwa iOS user's. Twitter Spaces inapatikana ndani ya Twitter ni 'Built In Feature'.
Unaweza kuona neon color pembeni ya fleet yangu, Valentina Vee ame-host.
Inaunganisha kuingia katika Spaces.
Twitter ilianzisha 'Twitter Spaces' January mwaka huu, kwa wakati ilianza kupitia watumiaji wa iOS wachache na kisha majaribio kuanza kwa watumiaji wa Android. Hivi sasa baadhi kwa uchache wataweza kutumia Spaces.
Procedures za kufuata kuingia Spaces kwa wale wenye access.
Kufikia April 1, Twitter itawawezesha watumiaji wake wote kuwa na Spaces na kila mtu kuwa na uwezo wa kuitumia.
Unaweza kuwaalika wengine au kusambaza kiunganishi.
Kuna yeyote huko ameweza kupokea Twitter Spaces kwake?
help.twitter.com
Twitter Spaces ni mfumo wa kuwasiliana kwa kutumia sauti likely kama ilivyo Clubhouse kwa iOS user's. Twitter Spaces inapatikana ndani ya Twitter ni 'Built In Feature'.
Unaweza kuona neon color pembeni ya fleet yangu, Valentina Vee ame-host.
Inaunganisha kuingia katika Spaces.
Twitter ilianzisha 'Twitter Spaces' January mwaka huu, kwa wakati ilianza kupitia watumiaji wa iOS wachache na kisha majaribio kuanza kwa watumiaji wa Android. Hivi sasa baadhi kwa uchache wataweza kutumia Spaces.
Procedures za kufuata kuingia Spaces kwa wale wenye access.
Sasa ni mmoja wa watu walio ndani ya Space iliyoanzishwa na Valentina
-Kufikia April 1, Twitter itawawezesha watumiaji wake wote kuwa na Spaces na kila mtu kuwa na uwezo wa kuitumia.
Unaweza kuwaalika wengine au kusambaza kiunganishi.
About X Spaces
Spaces is a place to come together, built around the voices of the people using X, your X community.