Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Kwa wale ndugu zangu wafuatiliaji wa karibu wa vitabu vitakatifu hasa biblia.. Naomba ni share na nyinyi kitu hiki...
Ukisoma bible kitabu cha Mwanzo.. Imeandikwa Mungu aliumba mbingu na dunia kwanza.. # siku ya pili akaumba tena# siku ya tatu akaumba#...
Siku ya nne ndio Jua (mwanga) ukaumbwa.. SWALI AMBALO HUWA NAJIULIZA KAMA JUA LILIUMBWA SIKU YA NNE.. HIZI SIKU ZA KWANZA ZA UUMBAJI WALITUMIA NINI KUJUA KUWA LEO NI SIKU YA KWANZA BILA JUA?