Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Hiyo nuru ilizalishwa na kitu gani kule angani mkuu1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
Mkuu nafikiri ukisoma hapa kwa kurudia rudia lazima swali lako utajipatia jibu.
Sio ya kwamba jua ndio lilitumika kujua siku maana tayari ilikuwepo nuru na giza, Mungu aliumba jua kuongeza mwangaza na Mungu aliumba mwezi kupunguza giza nene.
Tunajuaje period ya hip nuru isiyo Giza?1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.