Just won a TOYOTA VX

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
I recieved an sms from +255764550439 'HONGERA! Umejishindia gari aina ya TOYOTA VX kutoka Japanese Motors International Kenya,kwa maelezo zaidi piga simu namba +254724350637 ya ofisini,Asante. Hahahaha! hawapati mtu hapa.
 
Mzee unaiachia baahati hivi hivi brand new Toyota VX hahahaah
 
...Ushirombo ogopa hao jamaa jaribu kuwapigia usishange kesho ukarudi unalia mkuu..watch out!!!

Ooohh Thanks, are like those Nigerians with funny stories asking bank details to transfer huge sum of dollars, eti baadaye wakupe 20% mhhhh wazungu bado wanaibiwa maana wao huwa wanaamni watu kirahisi..
 
I recieved an sms from +255764550439 'HONGERA! Umejishindia gari aina ya TOYOTA VX kutoka Japanese Motors International Kenya,kwa maelezo zaidi piga simu namba +254724350637 ya ofisini,Asante. Hahahaha! hawapati mtu hapa.

Mkuu ulisheza nini hiyo bahati na sibu?
Kama umeshinda kwa nini wao wasikupigie?wana toa VX wanashindwa kukupigia?
Kuna dogo mmoja MBY walimliza laki saba hivi hivi hawa hawa jamaa.
 
Mzee unaiachia baahati hivi hivi brand new Toyota VX hahahaah

teh teh teh..

It can't get funnier than this..

Mi nadhani hawa ni wakenya waliochelewa kunyonya maziwa ya mama zao, ndio maana bongo zao zimelala. Wanasahau kuwa sisi ni wabongo?

teh teh teh..
 
kuna jamaa pale taasisi ya technologia ameshafunga safari kweda kenya weznzake wanamwambia wewe ??
 
I recieved an sms from +255764550439 'HONGERA! Umejishindia gari aina ya TOYOTA VX kutoka Japanese Motors International Kenya,kwa maelezo zaidi piga simu namba +254724350637 ya ofisini,Asante. Hahahaha! hawapati mtu hapa.

ukiteleza tu,wamekushika masikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…