SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 307 Aug 13, 2016 #1 Hivi kwa nini madalali wengi wa Dar wanaitwa Side au Beka?
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,760 Reaction score 20,837 Aug 13, 2016 #2 Uliokutana nao wewe tu. Na mpaka kugundua hilo ina maanisha u r obsessed with those names na kwa vile wameligundua hilo hata wasio na majina hayo wakija kwako wanajitambulisha hivyo.
Uliokutana nao wewe tu. Na mpaka kugundua hilo ina maanisha u r obsessed with those names na kwa vile wameligundua hilo hata wasio na majina hayo wakija kwako wanajitambulisha hivyo.