Justi bieber ni noma, hivi ndo alivyoamua kulifanya gari lake. Cheki hapa

Justi bieber ni noma, hivi ndo alivyoamua kulifanya gari lake. Cheki hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Hili ndilo tukio lingine ambalo limemrudisha Mwanamuziki Justin Bieber kwenye Headlines tena, This tym round, ikiwa ni kutokana na kitendo chake cha kuamua kutoa kiasi cha paundi 125,000, ambazo ni zaidi ya
shilingi 309,000,000 kwaajili ya kubadilisha rangi ya gari yake.

Bieber ameamua kuliweka gari hili rangi sawasawa na na muonekano wa
chui, na habari za uhakika kutoka ndani ya team ya msanii huyu zinasema
kuwa, Staa huyu aliamua kufanya mchongo huu ili kuwezesha gari yake
ku-match na mtoko wake wa 'kichui-chui' aliokuwa amejipanga kushine nao
kwa siku moja.
Hivi ndio gari ya staa huyu inavyoonekana baada ya kufanyiwa mabadiliko.

AKILI ZA KITOTO ANAYO PESA CHA KUIFANYIA HAJUWI MTOTO HUYU.
 
Attachments

  • audi.jpg
    audi.jpg
    43.7 KB · Views: 853
  • audi 2.JPG
    audi 2.JPG
    42.7 KB · Views: 1,044
  • Audi 3.jpg
    Audi 3.jpg
    32.9 KB · Views: 807
  • bieber.jpg
    bieber.jpg
    38.8 KB · Views: 817

AKILI ZA KITOTO ANAYO PESA CHA KUIFANYIA HAJUWI MTOTO HUYU.
Wewe hiyo hela ungefanyia nini cha ki utu uzima, ungejenga visima kijijini kwenu?

Watu walioko dunia tofauti wana mahitaji tofauti.

Wewe unafikiri ningefanyia mtaji, ningejenga nyumba, ningetoa msaada wa kujenga visima... wengine hawana mahitaji hayo!!!
 
Mkuu Anheuser Ningelikuwa ni mimi Mwenye hizo Pesa ningeliwasaidia watoto yatima duniani wasiokuwa na Baba na Mama Huyu ni Stupid hana akili angelikuwa na akili asingeweza kuipamba gari kesho au kesho kutwa inakula mzinga Heavy. Je wewe Ungelikuwa na hiyo Pesa kama hiyo ungelifanyia kitu gani?
 
Mbona una plasma TV, usafiri . kuuza hivyo nakusaidia ombaomba.? Hay ndio matumizi ya hela,unajuwa anawasaidia wangapi kwao Canada?
 
Wewe hiyo hela ungefanyia nini cha ki utu uzima, ungejenga visima kijijini kwenu?

Watu walioko dunia tofauti wana mahitaji tofauti.

Wewe unafikiri ningefanyia mtaji, ningejenga nyumba, ningetoa msaada wa kujenga visima... wengine hawana mahitaji hayo!!!
Ni kweli mkuu,we do differ to each other!
 
Mkuu Anheuser Ningelikuwa ni mimi Mwenye hizo Pesa ningeliwasaidia watoto yatima duniani wasiokuwa na Baba na Mama Huyu ni Stupid hana akili angelikuwa na akili asingeweza kuipamba gari kesho au kesho kutwa inakula mzinga Heavy. Je wewe Ungelikuwa na hiyo Pesa kama hiyo ungelifanyia kitu gani?
Mkuu ulichosema ni kweli kabisa,haya ni matumizi mabaya ya pesa!
 
pamoja na utajiri wake wote,asielekee kuwa shoga tuu kama anavyo zungumzwa na wachunguzi wa habari za ma celebrities....mwenzake zuckeberg kashaanza na campaign ya kutetea ushoga.
 
Mkuu Anheuser Ningelikuwa ni mimi Mwenye hizo Pesa ningeliwasaidia watoto yatima duniani wasiokuwa na Baba na Mama Huyu ni Stupid hana akili angelikuwa na akili asingeweza kuipamba gari kesho au kesho kutwa inakula mzinga Heavy. Je wewe Ungelikuwa na hiyo Pesa kama hiyo ungelifanyia kitu gani?

Mkuu Mzizimkavu, na ni kweli kwamba huyo Justin hana charity organization na hajawai kutoa msaada? unaweza kuta hizo ni mbinu za kibiashara tu, kama ulivyosema amerejea kwenye headlines!!
 
haha haaaaa! habari za tajiri muulize maskini. hivi kuna mtu anajua baiskeli yangu ina rangi gani hapa jf? any one interested kujua pleaseeeee!
 
nduu/mamaya bora wewe yna baiskeli wengine ni tz 11 mwanzo mwisho sasa kujua kuwa Justin amefanya madudu kwenye gari take haisaidii sana
 
Last edited by a moderator:
hiyo habari sio kweli!!!hiyo audi yenyewe ndiyo ina thamani ya pound 125000 na siyo gharama ya kubadilisha rangi ya gari!!!!kilicho washangaza watu ni vipi gari labei mbaya hivyo unalipaka rangi ya chui!!!!
 
Mkuu Anheuser Ningelikuwa ni mimi Mwenye hizo Pesa ningeliwasaidia watoto yatima duniani wasiokuwa na Baba na Mama Huyu ni Stupid hana akili angelikuwa na akili asingeweza kuipamba gari kesho au kesho kutwa inakula mzinga Heavy. Je wewe Ungelikuwa na hiyo Pesa kama hiyo ungelifanyia kitu gani?

Wewe ndio unaoneakana stupid,kwanini mabilion mliyonunulia ndege ya raisi inayoharibika kila wiki msisaidie yatima,kwanini mabilion mliyonunulia Radar kwa hasara msisaidie yatima,kwanini mabilion mliyoficha uswiswi msisaidie yatima,kwanini mabilion ya safari za raisi kila wiki msisaidie yatima? Hizo milion 300 za mtu alizozitafuta kwa jasho lake akitumia ndio unamuona stupid? fikiria mara mbili acha wivu wa ajabu, matumizi ya hela yanategea ni wapi na ni nani na kwa muda gani.
 
mijitu mingine bana sijui huwa tunatoa maoni kwa kujifanya sisi ni wasafi sana? yaani pesa nitafute mimi matumizi mnipangie nyie?? hii imekaaje?? na zikiisha mtanisaidia tena kuzitafuta? ebu mmpeni break mtoto wa watu atumie anavyotaka zikiisha atatia akili za wapi kuzipata na kuliko kubwabwaja hapa, tunatofautiana hapa duniani, justin anavyotoa hiyo misaada ya watoto yatima huwa habari hizo huwa hamzifuatilii kabisa. kipindi kako 16 tu kalitoa pesa nyingi sana kwenye matatizo ya haiti na hadi akaenda kule leo mnamuona eti ni mtoto hajui kutumia pesa, zenu mmezifanyia nini pamoja na hicho kiduchu mlichonacho??? fanyeni kazi
 
Back
Top Bottom