Hawa jamaa wa legal advise ni wafanyabiashara wazuri sana mara nyingi wankula huku na kuleSeek legal advice.
Hawa jamaa wa legal advise ni wafanyabiashara wazuri sana mara nyingi wankula huku na kule
Kwa hiyo unamshauri afanyeje?
mimi nimeishaamua kuwa kukiwa na mgogoro wakati naendelea na mchakato huo wa mahakamani najitahidi kutafuta sehemu nyingine (yaani kuwa na plan b) hawa jamaa wanaojihita ly nawakwepa at any cost kwani wamezidi kula huku na huku na kutembeza bakuli. Nakushauri komaa tu wewe mwenyewe
tusipotoshe umma kwa fikra duni, kila lililo jema halikosi kasoro.Justice hurried is justice buried,waone wanasheria makini watakusaidia
Wakuu natangukiza heshima......Nina kesi hizi baraza za land disputes since 2006!! Plot yangu ina title deed ya 1994...jirani
Yangu baada ya kuCna neighborhood yetu kuna
Major development i.e shopping mall zinajengwa akanifungulia kesi .....sasa anachofanya ni delaying tactics for all those years ...what should i do ..nataka kudevelop my plot
Chamsingi ambacho hujakieleza hapa ni iwapo kuna amri yeyote ya Mahakama iliyoombwa na kutolewa kukuzuia wewe kuendeleza eneo lako(interim injuction) kama haipo unaweza kuendeleza eneo lako .Muhimu kuzingatia kabla ya yote ni
kuhakikisha unamuona mwanasheria aliyekaribu na sehemu uliyopo iliapitia nyaraka zako pamoja na upande wa pili na atakuwa na nafasi nzuri ya kufanya neutral case analysis na kukushauri ipsavyo kabla ya kuwekeza raslimali zako