warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hii nimeipenda, Msanii maarufu duniani,anayeendesha maisha yake kupitia muziki, JUSTIN BEIBER ameipangisha nyumba yake iliyopo los Angeles,marekani ambayo ina thamani ya dola 10.8 million(zaidi ya shilingi 17 billion).Mjengo huo ameupangisha kwa muigizaji ASHTON KUTCHER(spread movie starring) ambayo analipa dola 50,000(zaidi ya shilling million 80) kwa mwezi. Justin beiber mwenye umri wa miaka 19 tu amefanya matusi hayo kwa staa mwenzie ambaye ana umri zadi ya miaka 32. Aaah yani ni sawa sawa na apa bongo LULU apangishe nyumba yake kwa WEMA SEPETU.