Justin Bieber - Nini Sasa Hii

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Sasa hii style sijui ndio tuiite nini? Tunapokwenda sasa naona ni bora hata yakutembea uchi maana itaonekana hukutaka kuvaa nguo! Lakini kwa style hii ni zaidi ya KATA kUN*****U!

 
Ni model yake! Hata Balotel hizo pamba anazo! Ila kwa bongo zitaigwa lazima!
 
Justin Bieber Has ‘Worst Birthday' Ever, But Cheers Up Later


Things didn't seem to go so well for Justin Bieberin London on Friday night, as evidenced by a disparaging tweet that the 19-year-old singer posted early Saturday a.m. E! Online reports that Bieber and his crew had some sort of disagreement with security at London club Cirque Du Soir last night, but when some of his entourage – which reportedly included Will Smith's son Jaden, who's just 14 -- were too young to get in, Bieber picked up his posse and packed it out.

According to an Us Weekly source, Bieber left the club because Smith couldn't get in. "They could have stayed if Jaden left, but Justin wanted to be loyal to his good friend," the mag's source said. Splash News, which photographed the singer, claims that Bieber only stayed at the club for five minutes – entering at 2 a.m. and leaving at 2:05. The photo agency says that he then headed to McDonald's in Earls Court before returning to his hotel. As for that disparaging tweet ... it was a very simple:
 
Yaani mtoto wa Will Smith ana miaka 14 saa nane za usiku yuko Club?
 
Toto ana kuja juu sana so hao ni vioo vya jamii so waku iga waigee tu yeye kasha fanya yake.
 
Acheni ushamba jamani, hiyo suruali ni self-contained,mi mwenyewe pamoja na uzee huu ntaiga
 
yy ni maarufu na kwa wenzetu wanajua kuutumia umaarufu wao ili kuwa gumzo na u-unique,sio lazima tuige kila kitu vingine tuvitizame na kuachana navyo.
 
Wasanii wa bongo lazima waige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…