Hii movie channel ina
stream
movie nzuri sana ukifurahia movie unaweza kuitafuta katika quality bora zaidi.
http://www.justin.tv/b/movienight22
Ukipata ujumbe imekuwa blocked
incriment last digit number i.e movienight23, 24,25 etc
Hii ina stream mambo ya
elimu, nature , science universe
http://www.justin.tv/b/siiver_fox666#/w/424014000/28
I wish watu kama wa wizara ya utalii wangetumia
njia hizi za bure ku strema vidoe za kuomyesha vivutio vya tanzania na kuwavutia zaidi watalii vijana wanaotumia sana mitandao.