Justine Kasusura: Mtanzania aliyefungwa "kwa kupiga pesa ndefu" ktk historia ya Tanzania na kisha kupangua kifungo bila wakili Mahakama ya Rufaa!!

Wewe ndiyo Kasusura au...

Historia ya huyo jamaa baada ya kuachiwa huru alichezea sana pesa...


Cc: mahondaw
 
Umeandika vizuri sana,Tanzania kushinda kesi ya jinai ni rahisi sana,maana prosecutors na polisi wanafanya kazi kizembe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi jamaa umepoteza uzuri wa hadithi kwa kujaribu kuchagiza na maneno mengi ya msimu. Hii imekuondea credibility sababu pia wengine wameshakosoa maeneo kadhaa. Ungeaindika kisomi kwa mtiririko wa maana si kutafuta tafuta tu maneno ya hovyo hovyo ionekane umepambisha story.

Hicho kitabu unaenda waandikia akina nani kwa lugha hii kama unasimulia watoto wa darasa la saba C? Unapaswa utulize akili badilika andika kama mtu mwenye elimu na uliyesoma uandishi wa vitu vya namna hii.usidhani kuweka weka tu maneno kama huto ulitoweka ndo unanogesha. Unaharibu
 
Mkuu, nakupongeza kwa hii 'flashback'

Jamaa alicheza picha vzr, lkn hakuwa ameandaa baada ya ile episode, ni action gani ungefuata, badala yake kaishia kubadilisha forex kupata madafu na kutumbua.

Tumshukuru M/Mungu maana kuna walionufaika kwa hayo madhambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu aliyeandika hii story ni mbabaishaji na ameandika kwa maneno aliyosikia vijiweni. Halafu eti anaahidi ''kitabu''! Kwanza mtiririko wake wa uandishi ni wa kibabaishaji, hauvutii na wa level ya chini sana. Total crap!
Hebu andika wewe vizuri huenda tukakupa wewe tenda ya kutengeneza kitabu..[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Justin na James Kasusula ni ndugu?
 
Nasikia jamaa anaishi maisha kama ya peponi sasa hv,ana ghorofa ambalo ni hoteli mitaa ya Ubungo,nafikiri alijua kuziwekeza hizo fedha
 
Hao walioachiwa mwanzo ndio walikula hizo hela

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ha majaji wamemuachia kwa hoja dhaifu sana, watakuwa walihongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…