Wabongo mtaacha argument za kijinga namna hii lini? Tuwaachie watu wenye uwezo kufanya kazi wanazozijua. Unataka mtu anayeandika below level akubalike na asihojiwe kwa sababu mimi siwezi kuandika? Stupid thinking!
Mara nyingi macho ya wivu huwa yanaona mapungufu tuu hayaoni mazuri itakavyokua sisi tumefaidika sana na huu uziWe ndo mjinga wa kutupwa, this is not a proffesional article, ni simulizi ya kawaida ya mtu.... usijidai wewe ni mtu smart wakati ni mshamba na limbukeni....kila mtu hawezi kuwa proffesional, jamaa kaandika aimulizi yake nzuri sana tu
Mkuu wa kikosi cha kupambana na ujambazi Dar ambaye naye ni mmoja ya waliofukuzwa kazi, pesa ya mgao huo ilimuwehua akili. Siku amekamatwa kwa amri toka juu, wapelelezi walipoenda kwake walikuta nyumba yake ipo bize kwa ukarabati. Yaani kila aina ya fundi kuhusu nyumba alikuwepo akiendelea na section yake.Maaskari wengi walitajirika sana, kuna mmoja mchaga pesa akaawachia ndugu zake yeye akaenda jela
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wa kikosi cha kupambana na ujambazi Dar ambaye naye ni mmoja ya waliofukuzwa kazi, pesa ya mgao huo ilimuwehua akili. Siku amekamatwa kwa amri toka juu, wapelelezi walipoenda kwake walikuta nyumba yake ipo bize kwa ukarabati. Yaani kila aina ya fundi kuhusu nyumba alikuwepo akiendelea na section yake.
Very busy renovation in the dunia by then
Kesi iliishajeMtoa mada correction. Rufaa ilisikilizwa Dar es Salaam na si Arusha.
Kuhuhu Citi Bank kulipwa hela yake iliyoibwa, ni kuwa kesi ilifunguliwa dhidi ya kampuni ya bima na kampuni ya ulinzi. Bima wanasema hela ziliziibwa na mfanyakazi wa kampumi ya ulinzi waliyemuamini hivyo ni sawa na kuwa ulijiibia mwenyewe. Citibank hoja yao ni kuwa bima yetu ilikuwa ni ya majanga yoote ikiwemo wizi na kuwa benki haipo nyumba ya huo wizi kwani kampuni ya ulinzi ambayo nayo ina bima ndio waliokuwa na mzigo ulipoibwa.
Nimepata hamu ya kuifuatilia kesi hii ilipoishia, kitambo sana. Vingine nimesahau.
Ndio hapo mwisho nimesema ngoja nifuatilie kesi hiyo iliishaje, kama citbank walilirudishiwa hela zao au la. Kwa sasa sijuiKesi iliishaje
We ndo mjinga wa kutupwa, this is not a proffesional article, ni simulizi ya kawaida ya mtu.... usijidai wewe ni mtu smart wakati ni mshamba na limbukeni....kila mtu hawezi kuwa proffesional, jamaa kaandika aimulizi yake nzuri sana tu
Correction imepokelewa mkuuMtoa mada correction. Rufaa ilisikilizwa Dar es Salaam na si Arusha.