Juu ya master

Juu ya master

Scob

Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
57
Reaction score
6
Jaman hivi ni fanyeje ili niachane na master? Nina kama miaka sasa yapata 7 toka nimeanza kupiga master na bado naendelea kupiga tuu, jaman naomba mnisaidie.
 
Usipende kukaa peke yako,usiwaze sana ngono.jikipi busy,epuka kucheki kanda za ngono.weka nia ya kuacha na mwombe Mungu akusaidie,kama una mke oa
 
Hiyo master ni ya research au ya coursework na dissertation? Kwa miaka 7? Achana nayo
 
Back
Top Bottom