DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 Jun 18, 2019 #21 igwee frm anambra said: Timu za Tanzania mara nyingi 1st eleven line up yake anapanga mganga toka bagamoyo au Zanzibar ..... ukiwa muislamu au mkristo safi unayejitambua huwezi kucheza mpira bongo. # mwisho wa kunukuu. Click to expand... umemnukuu nan?
igwee frm anambra said: Timu za Tanzania mara nyingi 1st eleven line up yake anapanga mganga toka bagamoyo au Zanzibar ..... ukiwa muislamu au mkristo safi unayejitambua huwezi kucheza mpira bongo. # mwisho wa kunukuu. Click to expand... umemnukuu nan?
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jun 18, 2019 #22 Sababu simba ni mbumbubu
thisdayes JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,610 Reaction score 4,556 Jun 18, 2019 #23 Twamo said: Wanamchezesha yule 'mzee' Wawa wanamwacha kijana mpambanaji kama Juuko! Aje kwetu acheze pacha na 'cotton'! Click to expand... Tatizo mshahara atapata tarehe 45
Twamo said: Wanamchezesha yule 'mzee' Wawa wanamwacha kijana mpambanaji kama Juuko! Aje kwetu acheze pacha na 'cotton'! Click to expand... Tatizo mshahara atapata tarehe 45
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Jun 22, 2019 Thread starter #24 Juuko anapiga kazi hapa kwenye mechi ya Uganda Vs Congo
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Jun 22, 2019 Thread starter #25 Africa Tanzania said: Sasa kama [emoji1254] hakuna beki kama huyo kwann asicheze? Binafsi ningekuwa kocha wa Simba sc ningemtumia Mlipili sana kuliko Juuko! Click to expand... Hujui mpira nenda kashabikie Golf
Africa Tanzania said: Sasa kama [emoji1254] hakuna beki kama huyo kwann asicheze? Binafsi ningekuwa kocha wa Simba sc ningemtumia Mlipili sana kuliko Juuko! Click to expand... Hujui mpira nenda kashabikie Golf
I Ilongailunga JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 1,388 Reaction score 896 Jun 22, 2019 #26 Hata Okwi alipokua Yanga alikua anakaa bench ila akiwa simba anaanza
msukuma fekero JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 2,285 Reaction score 2,969 Jun 22, 2019 #27 Ilongailunga said: Hata Okwi alipokua Yanga alikua anakaa bench ila akiwa simba anaanza Click to expand... Acha urongo wewe
Ilongailunga said: Hata Okwi alipokua Yanga alikua anakaa bench ila akiwa simba anaanza Click to expand... Acha urongo wewe