JUVENTUS FC kuingia Nusu Fainali UEFA Leo Usiku,kuungana na Real Madrid na Atletico Madrid

MLAU

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2007
Posts
4,726
Reaction score
3,363
Leo usiku huu saa 3:45 usiku Juventus wanaungana na Real Madrid na Atletico Madrid nusu fainali ya Uefa Champion League kwa kumtoa Barcelona.

Hakuna cha Mess wala Pique.
 
Eeh, maburuda tupo. Lakini pale camp nou sidhani kama tutabaki salama. Tukibaki lazima tulale na viatu.

FT Barcelona 5-1 Juventus
 
jaman wale mashabiki wa juve wa ukweli na wa kukodi karibuni kwenye uzi wa juve
tunalisongosha huko
fino alla fine foreza regaziii
 
Afe kipa afe beki Bufon UEFA ndio destiny yake Leo atafight sana
 
Huu mchezo Leo ni vita aisee
 
Waondoke tu hao barca ata Madrid jana alistahili kuaga ni hila za mwamuzi tu
 
Leo usiku huu saa 3:45 usiku Juventus wanaungana na Real Madrid na Atletico Madrid nusu fainali ya Uefa Champion League kwa kumtoa Barcelona.

Hakuna cha Mess wala Pique.
Kwa hakika imekua hivyo. Huwez kuruhusu goli 3 bila utegemee miujiza. Hiyo haipo,waliwaotea hao hao PSG
 
Kwa hakika imekua hivyo. Huwez kuruhusu goli 3 bila utegemee miujiza. Hiyo haipo,waliwaotea hao hao PSG
Kabisa Juventus wamekaza mwanzo mwisho
 
Hakika nimempenda, ukileta ujuaji ni njano tuu
Hajatoa njano nyingi ila amemudu mchezo ingawaje barca walitaka kumtoa mchezo kwa kumsukuma,kumsema,kumwamrisha atoe kadi na alipotoa onyo Kali kwa wachezaji kama wawili hivi wa Barca wengine wakaona mmmh hapa ukifanya mchezo unawezalimwa red mapema
 
Now you speak...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…