Juventus mlichokifanya leo Mungu anawaona

Buffon magoli yote ya Ronaldo alipaswa ayazuie. Poor goalkeeping positioning
 
Zizou Kaja na mpira tofauti sana seconD half..
Hawakua na jinsi, ni Kubanwa kimchezo nDiko kumepelekea hayo matokeo+JUVE baada ya kupigwa goli la 2+3 walitoka mchezoni Kabisa, Defense yao ambayo huwa wanaifanya imefeli kwa s' bu mipira mingi madrid wameipitishia pembeni na si ktk eneo la Katikati
Na nahisi km ingekua ni Game ambayo maDrid anahitaji kwenDa hatua nyingine kwa Aggregate, Basi juve angeoga nyingi Sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…