Tatizo kubwa la Juve hawana goal poachers like Ibra or Pato or Cavani (for Serie A level). Kwa sasa wanamtegemea sana Matri pekee. Hivyo kocha anachotakiwa kufanya ni kuweka viungo wengi zaidi wa kushambulia.
Tatizo la pili, wanakamia mechi kubwa kubwa tu, utaona wakicheza labda na Inter au Roma wanakaza msuli kweli kweli ila wakicheza na vitimu vidogo wanakuwa mdebwedo sana, na hii inawapunguzia sana pointi.
Wakijirekebisha kwenye hayo mawili uwezekano wa ku qualify upo, they still have a good team with good fighting spirit.
Italian football is now in history ! Wapenda soka Kama Gang c mumenielewa!
hehehe alafu kijana wako gatuso jana ndio alichomeka bao lake la kwanza katika hii season na ililikuwa bao lake 8 within 11 years aliyocheza Milan na ni bao lake 18 in his entire Seria A carer..!! yaani ukiangalia hiyo statistics Gatusso Ni Beki ya maaana!!
Nasikitika sana kuwaona Juventus wakiwa kwenye kiwango kibovu,walikuwa na timu nzuri sana huko nyuma wakikutana na Real Madrid,Madrid ilikuwa lazima apigwe bao.Baada ya kukumbwa na skendo ya kupanga matokeo baada ya kurudi Serie A wamekuwa vibonde nawakumbuka kina Cirro Ferara,Mark Iuliano,Lilian Thuram,Pavel Nedved,Didier Deschamps ,Edgar Davids,David Trezegoal hii ndio ilikuwa Juventus chini ya Capello then Lippi.Tangu Lucciano Moggi amefungiwa naona wameshindwa kabisa kupata Kocha na wachezaji wanaowafaa zaidi ya kupoteza pesa Diego,Felipe Mello,Mohamed Cissocko,wamechemsha kabisa kuibebba Juventus naona mchezaji aliyebaki ni Chielini
AC MILAN msimu huu watachukua ubingwa kiulaini
"It's so painful to stop right when I was getting to my peak. It feels like I was cut off in my prime, but I will do everything I can to come back even stronger." - Fabio Quagliarella, 8th January 2011.
Italy kuna nini msimu huu,maana timu 2 zishatoka ktk champions ligi uefa,na Inter sidhani kama ataweza kumtoa Bayern Munich kwao Ujerumani,ilianzia national team ktk world cup 2010