ndugu zangu wa Juve nipo katikati ya Banda la watizama soka naanGalia mecho ya Celtic na Juve yaani leo nisipopigwa basi kweli Nungu atakuwepo Duniani.
Leo Juve na mimi, mimi na Juve.
Forza Juve
Hahahahahaaa, bora, kuliko kushangilia waingereza wasiojua kandanda.
Celtic 0 - Juventus 3, na bado!
ndugu zangu wa Juve nipo katikati ya Banda la watizama soka naanGalia mecho ya Celtic na Juve yaani leo nisipopigwa basi kweli Nungu atakuwepo Duniani.
Leo Juve na mimi, mimi na Juve.
Forza Juve
Baada ya kuingia goli la 3 jamaa wakabonyea...
Thanks Gods mpira umekwisha sijapigwa
ha ha haa!ngoja na mimi nijaribu ya milan!naamini ntatoka salama pia!
Forza bianconeri.... Celtic wakakojoe walale
Ulikuwa wapi Viper?
au wewe ni juve wa Mechi?
Siku zote napambana na akina Mourinho, Bologna na Juve mwenyewe...
Ukizingatia wewe ndo muanzilishi wa thread?