S.S Napoli wamechukuwa driving seat baada ya inter kudondokea pua kwa sassuollo. Napoli ambao walikuwa kwenye kiwango bora kabisa walipata ushindi mnono wa mabao 5-1. Huku Gonzala Higuein akitia mawili... Juve nao wamepata nafasi ya ukonda kwa ushindi mwembamba wa 2-1.
Hongereni naona Leo mmejipigia.......Hivi vijamaa leo navionea huruma, dk 28 vishamwagiwa tatu.......Napoli tuko nyuma yenu tunawapumulia
Hongereni naona Leo mmejipigia.......
Aah game yenu siangalii. Naangalia ndondo man vs liver....huu msimu tupo vizuri. Ila ni kwa sababu nyie mlianza vibaya. Tunawapa presha ila scudetto ni lenu.
Kwanza pole, we si mshabiki wa Loserfool?Kweli kaka, inter na viola naona pumzi zimewaishia. vp dirisha hili la january hamfanyi usajili? Sijasikia hata tetesi.