asa Viper huyu Bendtner kweli ni wa hadhi ya Juve?
Wallah nasema huyo chizi hawezi ninyang'anya namba Abajalo
Mpwa bila shaka umeamini sasa anayejua atajua tu. Sijawahi ona JUVE kama hii. FORZA JUVENTUS PER SEMPRE.
1. Buffon
2. Thuram
3. Pesotto
4. Montero
5. Ferarra
6. Davids
7. Conte
8. Tachinadi
9. Trezeguet
10. Muheshimiwa Del Piero
11. Nedved.
Sub:
Maninger, Iuliano, Bilindelli, Zalayetta, guzman
Kocha:
Lippi.
Kawaulize Madrid kilichowakuta katika kikosi hicho booora kwa upande wangu.
Na si kwa Madrid waliosasambuliwa game mbili bali hata Barca alikalishwa na kutolewa.
Maalim we acha tu!! Naitamani sana juve hii!.. old days zinarudi.. tunaendelea na unbeaten strict na pia vipi! Milan!! Shekh.. juzi kati mtoto mdogo akawakalisha chini..
hongereni kwa droo
mimi natabiri ubingwa unakwenda juventus maana hawa jamaa niliangalia ile mechi na chelsea daa kazi ipo.
Mjomba Dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe... Subiri ligi bado.