Juventus Special Thread

i love Juventus FCKuna kikosi cha mwishoni mwa miakaya 1990s kikijumuisha

Angelo Peruzzi
Alesandro Del Piero
Philipo Inzaghi - Pipo
Gianluca Viali
Fabrizio Ravanelli
Christian Vieri
Vladmir Jugovic
Attilio Lombardo
Didier Deschamps
Nicola Amaruso


hili timu lilikuwa ni Noumer nilili[enda mpaka basi Mambo Yalikuwa DTV Live
 


Bila kuwasahau Zinnedine Zidane na Ciro Ferrara,
 
[h=2]Juventus 1996-98[/h]
Juventus 1996
 
Hapo naamini sasa JUVE hii kurudi tena inabidi CONTE awapike vizuri wachezaji.
 
Just hit like then sepa hawa jamaa kawaulize chelski wanawajua bila kuwa sahau ACM Rosonelli
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: left"]
JUVENTUS
Buffon
Lucio, Bonucci, Chiellini
Lichst'ner, Pirlo, Vidal, Marchisio, Asamoah
Vucinic, Quagliarella
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Lazima wafungike leo VIOLA.
 
bologna napoli boti yao imezama! mkuu!


Juventus-Napoli 2-0 (Caceres, Pogba)
Dedicato a tutti voi per cui la Juventus è stata... il primo amore!






le grande Juventus Gang Chomba utakubali tu!

 
Mkuu viper nimeona tulivyofanya leo. Gang chomba naona lazio wanamuendesha kweli. Ngoja niendelee kumpa tafu kuangalia game yake.
 
Mkuu viper nimeona tulivyofanya leo. Gang chomba naona lazio wanamuendesha kweli. Ngoja niendelee kumpa tafu kuangalia game yake.

kushinei kwa sasa milan maana still wanainvest sijui returns itakuwa lini..
 
the master minder !! .. the legend... The stallion horse...Dah ! .... we missed hm in the green field

NEDVED


 
kushinei kwa sasa milan maana still wanainvest sijui returns itakuwa lini..

mpaka sasa zimechezwa game 8 Milan wapo nafasi ya 15 .. game ya juzi na NAPOLI ilikuwa na tension kidogo.. glad juve aliendelea kuthibitisha who is the Alpha male pale seria A... forza bianconeri
 
Libwaata libwaata liko paandeeee...
Na huko pande liliko ni kwenye shamba la jumanne...
Lingekuwa Gogo ningelikata nikaligawa mapande...
 
Haya sasa, JUVENTUS Vs CATANIA ndani ya sicily.
 
Tumepigwa mkuu. Ila mechi ilikua Open kabisa tangu kipindi cha kwanza. Yan nilivyoona juve wanakosa magoli kipindi cha kwanza nikajua Inter hawatapoteza mechi hii. Na imekua kweli. Juve ndio wa kujutia mechi hii. Yan Gang Chomba nimemshangaa kocha kumwingiza Bendtner mapema tu then akamwacha mtu kama Quagliarera. Quagliarera ilibidi aingie baada ya vucinic kuumia. Then wangempunguza kiungo mmoja na kuingia POGBA. Daiiiiim.
 
but ukweli mi huwa nausema bila kificho.
Goli lenu wajomba ni offside dhahiri...
Na pia sidhani kama mlionana na Refa mapema ili mmalizane nae ili ushindi upatikane.
 
Sio mbaya mkuu hii itawafungua akili kwenye Mechi ya UEFA wiki ijayo. Yan hizi game zinazofuata tusipo tulia tunapotezwa Ghafla. Juve tatizo lao ni kupoteza sana mipira kwa pasi zisizo na macho. But kwenye ukabaji wapo vizuri sana. Mkuu marefa mda mwiingine wanajisahau. But ile na Catania hadi mimi mwenyewe niliona refa anatutengenezea Calciopoli nyingine.
 

usihofu,hii defeat itatusaidia kama extra motivation kwenye UEFA!We lacked determination today.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…