Juventus Special Thread

Ngoja tusishangilie sana manake hawa Juve hawaeleweki!wasije kubweteka tena!
 
Aaah!mtoto mtundu Po po po Pogba namuona kwa mbaali anajiandaa!
 
Huyu babu ananikosha sana..Pogba Ana mengi ya kijifunza kama anataka kuboresha kiwango chake zaidi...

Pogba u-much know mwingi, anaona kashakuwa star, hata akitembea utafikiri ana majibu makalioni.

Pesa inaharibu watoto, kina Pirlo wametengeneza pesa kwa miaka mingi wakicheza tena bila kuvimba kichwa, vizazi vya sasa vya kuvaa suruali huku makalio yote yako nje wanakua matajiri kabla hata hawajacheza huo mpira, unashangaa vitoto vipuuzi tu kama Neymar vina ukwasi wa ajabu kwa kazi ya kujiangushaangusha tu uwanjani.

Unawa-motivate vipi hawa kina Pogba, labla kwa kuwaahidi pesa kama za Rooney ili wakazidi kuonesha makalio yao huko Instagram
 
Giovinco awapo uwanjani huwa na kazi moja tu,kuhakikisha defence line yote ya wapinzani ina kadi za njano na nyekundu!
 

unazungumziaje mechi ya leo mkuu!unaonaje nusu fainali tutapita kweli?
 

yaani mkuu umeongea point kubwa sanaa!hili ni tatizo linaua vipaji vingi sana leo hii kila mahali si soka tu!
 
yaani mkuu umeongea point kubwa sanaa!hili ni tatizo linaua vipaji vingi sana leo hii kila mahali si soka tu!

Huwa wapo busy siku hizi kijitazama kwenye vioo before hawajaingia dimbani teh teh....
Makocha nao wana wakati mgumu sana sasa hivi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…