Juventus Special Thread

Gang Chomba usihame jukwaa wiki ijayo. maana hao juve wanatia njaa.
 
Gang Chomba usihame jukwaa wiki ijayo. maana hao juve wanatia njaa.

Waulize Napoli kilichowapata...
pale katikati kulikuwa na sungusungu wanne.
1. Montolivo.
2. Boateng
3. Nocerino
4. De Jong.

Kisha mbele tukawawekea watoto wawili sugu.
1. Bojan
2. The Farao elshaarawy.

Waliomba mpira uishe dakika ya 65.
Maana hao Milan walikuwa wanakuja kama Anaconda aliyesikia harufu ya Damu na Pumba.

Forza Milan
 
Haswa ukizingatia Nilikuwa nakiputa na Cavani sugu lililoshindikana.
Nimeweza kulikaba na halijafunga.

Forza Milan

uefa mkuu inakuaje maana chama langu city is out ila na imani na juve kibibi cha turin...
 
uefa mkuu inakuaje maana chama langu city is out ila na imani na juve kibibi cha turin...

Ndetichia Chelsea na wale Spartak wana pointi 7...wewe una pointi 5.
Wewe mechi hii unaumana na chelsea so ni mechi haswa.
Then spartak anamkamata yule kibonde.
So kama spartac akimkamata yule kibonde basi atakuwa na point 10 so atakuwa ashavuka.

Kazi kwako na chelsea.
 
Shakhatar 7, Chels 7, Juve 6, Nodjes 1. Juve leo inabidi tukaze sana. Chelsea sio wa kuwabeza.
 
Juventus-Chelsea: 3-0 (Quagliarella, Vidal, Giovinco)
Date il vostro titolo a questa epica partita!
@Gang Chomba maoni yako mkuu

Fantastico,Forza Juve...Grande Juventus!!!!!!!!!!
 
Gang Chomba unakubali kiaina. Unakubali kiaina. Hao ndio JUVEEEEEE.
 
Juventus-Chelsea: 3-0 (Quagliarella, Vidal, Giovinco)
Date il vostro titolo a questa epica partita!
@Gang Chomba maoni yako mkuu

Fantastico,Forza Juve...Grande Juventus!!!!!!!!!!

goli la giovinco usipime maana hata cech hakuamini yule dogo alivotumbukiza ule mpira..
 
Gang Chomba unakubali kiaina. Unakubali kiaina. Hao ndio JUVEEEEEE.

ktk historia yangu ya ushabiki kwa juve sikumbuki ni lini mara ya mwisho kumfunga mwingereza.kwa kweli jana nilifurahi sana.congarts to all juve fans.proud of you,FORZA LA VECHIA SIGNORA.namsikitikia Di Matteo,atusamehe.
 
hahaha vijana wamemfukuzisha mtu kazi ...:becky: dah!
 
Andereicht 1-3 Milan...
*El shaarawy
*Mexes
*pato.
Milan are through...

NB
Goli alilofunga beki wa Milan Philip Mexes kama angelifunga Messi basi tungeambiwa Champions League imekwisha na Barca ni mabingwa so tusubiri michuano ya nxt season...

Forza Milan.
wewe ndie Honey wangu ambaye watu wananieleza mabaya yako weeeh lakini naishia kuwajibu ''yatawashinda''.
Mimi na wewe mpaka ntakapotangulia kusikojulikana.
Nakupenda sana Darling, amini hilo.
 
j2 ac milan vs juventus
 
j2 ac milan vs juventus

Taarifa rasmi ntaitangaza kesho muda kama huu na kuueleza umma ni wapi ntaitazama hii game.
Lakini probably ntakuwapo Wayside @ Sinza Mugabe.
Lakini mpaka sasa ni 50/50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…