Juventus Special Thread


Hahahahah.. nimeisoma hii mkuu,, lakini akitimuliwa hapo kwa Perez ataenda wapi!?? Labda City... ataki arudi Serie A
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri Juve napenda niwaone kwa nusu fainal, Mourinho hope leo utapatikana na jukwaa litapendeza, nifundishe lile neno linaloanza For....napenda unavyokuwa unaliandika sijui hata maana yake lakini nalifurahia tu.
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri Juve napenda niwaone kwa nusu fainal, Mourinho hope leo utapatikana na jukwaa litapendeza, nifundishe lile neno linaloanza For....napenda unavyokuwa unaliandika sijui hata maana yake lakini nalifurahia tu.

Leo nipo tele hapa everlenk kwa mbwembwe na bashasha zote
Tukisema #ForzaJuve ni sawa na nyie kule EPL mnavyosema come on Chelsea, come on you Gunners etc, kule kwa daddy wake watasema Vamos/vamanos, so it's between come on or let's go

#ForzaBianconero
 
Last edited by a moderator:

Asante sana kwa hili, ndo raha ya soka hiyo hadi lugha tunajifunza, kwahiyo naweza pia kusema #Forza Mourinho....usinicheke ndo naanza mazoez hivyooo......
 
Last edited by a moderator:
-Monaco kufungwa J4 iliyopita haimaanishi hana uwezo wa kumfunga 2-0 au 3-0 Juventus.
-Monaco walicheza mpira mzuri na walijaribu kutengeneza za kufunga kwa kadri ya uwezo wao, wanaweza wakampiga Juventus leo bila tatizo lolote.
-Monaco jitumeni muweze kuwatoa Juventus.
 

 
Na hii Formation sijui mnaipendea nini, mnajiamini sana kupanga beki 3 huku imani yenu ikikaa kwa viungo. Sasa ngoja mkutane na Barca.

Teh teh teh, naona uko obsessed na Bianconero
Kwa formation hii Allegri anataka kucheza kwa kujihami kidogo
 
pirlo atafika miaka 50 bado ana ubora wake ..kazi yake kubwa nikuzunguka ile duara pale na akishika mpira anauamuru uende anakotaka....
 
Tunaenda semi, tumecheza mpira mbovu na kama Monaco wangekuwa makini wangepata ushindi. Kuna kazi kubwa sana mbele yetu. Barca, Bayern, na Real madrid, Hii ni miamba hapo ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…