TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Ni kweli hiyo game ilikuwa major success, ila bado sioni kivipi kuna mchezo mchafu unafanyika. And i can guarantee you, yeyote atakayeingia fainali na Madrid itakuwa record mpya.Bayern Munchen Vs Dortmund ndo ilikuwa UCL final yenye mafanikio makubwa kuliko Finals zote zilizopita, interms of Views (number of Viewers) and mostly kiuchumi.
So we mwenyewe unaweza ukafigure kwanini ilikuwa hivyo.
Mchambuzi wangu NGULI napingana na ww kwa hili!
Madridi WASIJIDANGANYE kama wanaenda kumtoa Juventus!Kambale hawa wakomavu wa Turin wanaweza mfunga team yyt kwa sasa hapa duniani
Kipa Buffon akilindwa na mabeki Bonuchi,Barzagli,Evra na Chiellin wanamuweza kabisa CR 7 na wenzake wasifurukute
Katikati hapo ndipo kwa asilimia kubwa Madrid watazidiwa sababu The Architec Pirlo karudi kwenye ubora wake huku Vidal.na Marchisio wakiwa tayari kumsaidia mkongwe huyu
Mbele hapo Tevez na Morata si watu wa kuwabeza,wanaweza mfunga yyt yule
Prediction:Juve vs Barca final
Juve wazuri sana hilo nakubaliana na weweFainali itakuwa
Bayern Vs Juventus
Juve wazuri sana hilo nakubaliana na wewe
Lkn I cant see Suarez,Messi na Neymar wakishindwa kumtoa Bayern
Ngoja tusubiri but uwepo wa Alonso,Bastian,Lahm,Thiago usifikiri Barca watachezea mpira kama walivyochezea against PSG na kule mbele Muller na Lewa hawa wakipata nafasi moja tu hawakuachi
Ni kweli hiyo game ilikuwa major success, ila bado sioni kivipi kuna mchezo mchafu unafanyika. And i can guarantee you, yeyote atakayeingia fainali na Madrid itakuwa record mpya.
Mchambuzi wangu NGULI napingana na ww kwa hili!
Madridi WASIJIDANGANYE kama wanaenda kumtoa Juventus!Kambale hawa wakomavu wa Turin wanaweza mfunga team yyt kwa sasa hapa duniani
Kipa Buffon akilindwa na mabeki Bonuchi,Barzagli,Evra na Chiellin wanamuweza kabisa CR 7 na wenzake wasifurukute
Katikati hapo ndipo kwa asilimia kubwa Madrid watazidiwa sababu The Architec Pirlo karudi kwenye ubora wake huku Vidal.na Marchisio wakiwa tayari kumsaidia mkongwe huyu
Mbele hapo Tevez na Morata si watu wa kuwabeza,wanaweza mfunga yyt yule
Prediction:Juve vs Barca final
Ngoja tusubiri but uwepo wa Alonso,Bastian,Lahm,Thiago usifikiri Barca watachezea mpira kama walivyochezea against PSG na kule mbele Muller na Lewa hawa wakipata nafasi moja tu hawakuachi
Will never happen mate!
Mourinho hatualikani kwenye hiyo sherehe ya kutangazwa bingwa? Au unasherekea mwenyewe?
Hongereni sana wana Juventus.
#ForzaJuve
Dada yangu kwema?
Naona umekimbia sredi yenu baada ya JAMBIA kuota kutu kwa kukosa damu!
Yule Mirallas mbaya sana yule
Kashetani kale hakawezi uchawi wa mbali this week katakunywa tu damu......
everlenk hata hatuna shamrashamra sanaaa maana hii scudeto tushaizoea, tutaalikana tukinyanyua lile lijindoo la UlayaMourinho hatualikani kwenye hiyo sherehe ya kutangazwa bingwa? Au unasherekea mwenyewe?
Hongereni sana wana Juventus.
#ForzaJuve
everlenk hata hatuna shamrashamra sanaaa maana hii scudeto tushaizoea, tutaalikana tukinyanyua lile lijindoo la Ulaya
Badstuber tayar Pancha msimu mzima!!
Patnership iliyomfanya Quaresma aonekane MTU tena, itakuwa inacheza dhidi ya Neymar, Messi and Suarez.
Robben na Lewandowski hatakuwepo for the rest of the season, Ribery naye ana hatihati, beki ndio hiyo tia maji tia maji, midfield yao mmoja akipona mmoja anapata majeruhi
On other hand, Barca wanazidi kuimarika kila siku, hiyo partnership ya Messi, Suarez na Neymar ni kwere, Xavi (Pirlo mdogo) anarudi vizuri kutoka kwenye majeruhi (kafunga goal zuri na kacheza vizuri game ya jana), Iniesta, Rakitic, Buesquest............ Luis Enrique ashindwe mwenyewe
Msiwachukulie Bayern poa kabisa. Kukosekana Lewy na Robben kunamaanisha more midfielders, nimeshaona games wakicheza bila Lewy na wanafanya vizuri. Schweini, Thiago, Lahm, Xabi, Gotze, Muller will own Barca, best believe that. Nionavyo mimi, Bayern bado wako more balanced. Remind me to eat my words if i'm wrong.Robben na Lewandowski hatakuwepo for the rest of the season, Ribery naye ana hatihati, beki ndio hiyo tia maji tia maji, midfield yao mmoja akipona mmoja anapata majeruhi