Ligi ya Italy Na ufaransa hata kabla haijaanza inajulikana kabsa champion n Nan
cjui nakomemt wapi
Bundesliga hapana hapaSerie A
Scottish Premier
French League 1
Bundesliga
Bundesliga hapana hapa
kuna ka mchuano kidogo
maana kwa Sasa bayan
haina makali kama zaman
Scottish premier Nako huko
Kama sio ranges kuzembea
Angeleta upinzan kwa Celtic
cjui nakomemt wapi
Kwakwel yan huu n ukweli kabsaGreece premier league
Hata wewe mkuu Usser ukiteuliwa kuwa coach wa Bayern ama Celtic basi ubingwa ni by default
Ronald anavyopenda kamera sikuamini kama ataenda italy niligundua baadae kwamba uwezo umeishaLigi dhaifu
Ile njemba mpenda penati ndo mana kaenda kujifichia uko udhaifuni ili akachukue ujiko