So that is Ronado, you kidding or got crazy?
Ni kweli, jamaa wapo tayari kuuza iwapo kama timu itafika bei, wanataka kupunguza matumizi maana corona imewatafuna na ndio maana Ramsey nae wamemfungulia mlango maana anapiga pesa ndefu kwa wiki, 400k, na ronaldo ni zaid ya 500k/weekHizi ni Porojo tu za usajili...!
KushotoMessi ni yupi apo,wakulia ama kushoto?