Juventus yampiga marufuku Dani Alves kuanzisha mazungumzo ya kusajiliwa na Chelsea, Man City

Juventus yampiga marufuku Dani Alves kuanzisha mazungumzo ya kusajiliwa na Chelsea, Man City

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Klabu ya Juventus imemchimba mkwara mchezaji wake Dani Alves kwamba atalazimikiwa kujiuzulu iwapo ataanzisha mazungumzo ya kusajiliwa na klabu za Chelsea na Manchester City.

Kwa mujibu wa Sky Italia, mwandishi Fabrizio Romano aliandika kwamba hata wakala wa mchezaji huyo aliyetaka kuonana na Juventus alielezwa jambo kama hilo aliloambiwa Alves.

Alves alijiuga Seria A msimu uliopita kwa mkataba wa miaka miwili na tayari ameanza kuhusishwa kuondoka klabuni hapo. Pia anatajwa kwenda kujiunga na klabu mojawapo ya England kati ya Chelsea na Manchester City.




mwananchi
 
Uyo labda man city Chelsea Hana nafasi usidanganye watu
 
Back
Top Bottom