Jux ajileta kwa mashabiki wake

Joined
Sep 2, 2014
Posts
52
Reaction score
4
Mwanamziki wa kitanzania aitwaye Juma Mpolopoto maarufu kwa jina la Jux amesema kuwa baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimdhania tofauti na alivyo huku wakidhani kuwa anaimba mziki kwa ajili ya kujifurahisha na sio kama wasanii.

Pia ni msanii anayejipenda na anaopangilia mavazi kuliko wasanii wote na kwa sasa anapanga aanze kujitambulisha kwa mashabiki rasmi.
 
juma mpolopoto a.k.a jux
ama kweli ubishoo kazi
 
Aisee Jux anaimba balaaaa na pamba anapangiliaaaa
 
duh naona kaamua kumpotezea jack wa linex selo ya china.....kweli upunda ni majanga
 
Jux angejaliwa talent ya kuimba,ata Diamond angesubiri. Angekuwa bonge la super star.
 
Matola

Mkuu achana nae..huyu itakuwa ni mpolopoto wake..!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…