Jux anajua kuomba msamaa mpaka mtoto (vanessa mdee) kumkubali tena

Wasanii wetu mbwembwe nyingiiiii...., sasa hawa nao wanatafuta kiki utashangaa wanaitungia movie. Upuuzi mtupu
 
Kabisa malipo yapo hapahapa...
Mi kipindi sijafikia kuwa na mke,nilikuwa nikiwa na demu alafu nikasikia anataka kuolewa au anaolewa,nilikuwa nafurahi sana maana kukaa na mtoto wa watu muda mrefu na wakati uwezekano wa kumuoa huna,unajiwekea lawama nyingi sana kwenye jamii na maisha yako,laiti tungekuwa tunajua ,tungekuwa tunawashukuru wanaotusaidia kuwaoa
 
alafu anajisifu kabisa,kuoa hataki binti akiolewa anaenda kuharibu ndoa ya watu
hahahaha wapi nimesema sitaki kuoa, mambo hayakaaa poa jamaa kaja na gia ya kuoa nimempa binti go ahead

ila akioa ajue kaoa goma langu (maana anajua mahusiano yetu) na nimesema alimwambia nikikuoa umwache zipompa.

Na atalipa gharama za ku ova teki fuso,mtoto wa kwanza juu chini atalea bao langu.
 
kila la kheri mkuu
 
Kabisa malipo yapo hapahapa...
nyie jamaa mnanichekesha asa mnasikitika nini? haya mambo ndo yanafanya dunia iende asa mi bila kumgongea huyu bwana ile takwimu ya 49% mtaipata wapi?

sie ndo tunawapa watu bila sie kampeni ya baki njia kuu mchepuko sio dili itakuwa haina maana.

wacha tufanye maisha yaende wakuu, tuombeane kheri
 
Sawa mkuu umesomeka
 
Hata mimi nimefurahi mkuu ila furaha itazidi baada ya kumchapia jamaa (maana yeye sasa hivi anafuraha kwa kuona ameniweza). kumbe mie namlia taimingi nimpe 49% atalia kama nyau ngoja tu.
 
Kweli mlikuwa hamjaelewa hawa. Waliamua kukaa kimya acting like wameachana ili ile scandal ya madawa ya kulevya kwa vee isiwaharibie sana reputation zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…