Msanii Jux ametoa ngoma inaitwa COVID-19 amemshirikisha Maua sama haina muda Mrefu tangu itoke.To be honest hii ngoma inaamasisha ngono kwa asilimia 💯 wameimba kwa deep passion sana za kimapenzi ya chumbani. Ukisikiliza hii ngoma unapata nyege si mwanaume si mwanamke wote kwa pamoja na kibaya zaidi beat iliyotengenezwa inataka uwasikilize wasanii na namna walivyoimba Ni Kama lugha ya kupeana msisimuko Kati ya wapenzi before ya mechi + na nguo aliyovaa maua sama sidilia ipo nje nje kabisa karibia mwili wake wote upo nje.
Kwenye hii ngoma imezidi Sana ujue unaweza ukatumia matusi lakini isiamasishe ngono kabisa mfano ngoma ya gigy money "nampa papa" Ni ngoma Kali kuanzia beat, Melody mpaka mix yake Ni moja Kati ya ngoma ipo kwenye playlist yangu pamoja na kwamba Ina lugha ya matusi lakini haiamasishi ngono kabisa the same to ngoma ya country boy
"Leo" lakini ngoma ya Jux imezidi mipaka to the maximum nashangaa mpaka sasa BASATA wameiacha izurure.