Jux hii sio poa kabisa

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii Jux ametoa ngoma inaitwa COVID-19 amemshirikisha Maua sama haina muda Mrefu tangu itoke.To be honest hii ngoma inaamasisha ngono kwa asilimia 💯 wameimba kwa deep passion sana za kimapenzi ya chumbani. Ukisikiliza hii ngoma unapata nyege si mwanaume si mwanamke wote kwa pamoja na kibaya zaidi beat iliyotengenezwa inataka uwasikilize wasanii na namna walivyoimba Ni Kama lugha ya kupeana msisimuko Kati ya wapenzi before ya mechi + na nguo aliyovaa maua sama sidilia ipo nje nje kabisa karibia mwili wake wote upo nje.

Kwenye hii ngoma imezidi Sana ujue unaweza ukatumia matusi lakini isiamasishe ngono kabisa mfano ngoma ya gigy money "nampa papa" Ni ngoma Kali kuanzia beat, Melody mpaka mix yake Ni moja Kati ya ngoma ipo kwenye playlist yangu pamoja na kwamba Ina lugha ya matusi lakini haiamasishi ngono kabisa the same to ngoma ya country boy
"Leo" lakini ngoma ya Jux imezidi mipaka to the maximum nashangaa mpaka sasa BASATA wameiacha izurure.
 
Sawa Mkuu ngoja wataalamu wa muziki wapitie content.
 
Jamaa anaimba vzr sjui nan anamdanganya kwamba video vixn lazma akae uchi kila wimbo,na hyo ngoma sijaona ila nmetumia uzoef huwa yupo jivyo kwny nymb xake
 
Haka kadada kumbe kanamwonekano mzuri kakiwa katika mavazi ya ajabuajabu, kuhusu sura kila mmoja atumie mboni zake.

Asante kwa promo ya wimbo huo.
 
Nenda tu na wewe ukawatch hiyo video na utoe maoni yako hapa.
Mimi sio mtaalamu wa Muziki mkuu ninaweza nikatoa maoni yakawa ya kishabiki tu hivyo naweza kuwakera mashabiki wake au kuwafurahisha mashabiki wake kumbe nikamuingiza chaka Jux bora wasomi waangalie na kuchangia kitaalamu zaidi.
 
Mimi sio mtaalamu wa Muziki mkuu ninaweza nikatoa maoni yakawa ya kishabiki tu hivyo naweza kuwakera mashabiki wake au kuwafurahisha mashabiki wake kumbe nikamuingiza chaka Jux bora wasomi waangalie na kuchangia kitaalamu zaidi.
Nimekupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…