Jux hii sio poa kabisa

Kunya anye kuku akinya bata kaharisha aiseee
 
Utakuwa unayako we mleta mada lakini kwani covid 19 ndio inasababisha watu wasitafunane au watu wasitoane jasho vyumbani huko?
 
Maua na Vanessa wanajua kuimba Ila
Wanajiharbu. Tu wanavovaa uchi
Ndio video za kisasa hizi kama nyimbo za kina Card B na Minaj sindio mule mule tu acha twende sawa tu mwendo wa vyupi πŸ‘™
 
U lily kim mwingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ngoma iko frezh san. Na video n noumeeeer, jux huwa hakoseagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…