The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kuna mdada mmoja alijipost Insta anawashauri vijana jambo fulani,Ukitaka ucheke ufe nenda kwenye comment section ya wabongo insta au ticktock.
Lowkey wabongo wengi ni comedians.
Ubishi upo wapi hapo? Unajua kusoma vizuri kweli?Umeanza ubishi wako mkuu? Are u okay kweli? Maisha yako magumu eti eeh?
Chezea harusi tatu na sherehe kila wiki na zote utoe hela wewe halafu hela inatoka tu haingii lazima uwe stressed. Mwili haudanganyiSi kweli ,hawezi kuisha namna hiyo.
🙌🏻🙌🏻😂😂Kuna mdada mmoja alijipost Insta anawashauri vijana jambo fulani,
Sasa huyo mdada alikua na macho makubwa na uso wa Duara,
Comment ya kwanza kabisa ikamwambia ''Tulia na uso wako kama emoji ya Jua''
Naomba I'd yako ya IG 🤣🤣Ukitaka ucheke ufe nenda kwenye comment section ya wabongo insta au ticktock.
Lowkey wabongo wengi ni comedians.
😂 Sawa ntakutumia PM.Naomba I'd yako ya IG 🤣🤣
Sawa bebii😅😂 Sawa ntakutumia PM.
Wewe endelea kisigua gaga uswazi tuu acha kubweka bwekaAliona pis za bongo hazimfai acha akomeshwe😂
PICHA mkuuNgoja akaushwe awe kama Janabi.😀
BTW: Jana kuna askari Magereza alikuwa mahakamani pale kizimbani akimlinda Lisu!! Dah!!
Akituma ID usisahau kunisambazia sawa..Sawa bebii😅
Watu comment section wanasema kuongea kingereza kila siku kuna mkomdesha juma 🤣🤣
Kweli kabisa uyasemayo...Niko nao huku ughaibuni asee wanawake Wana kiherehere na kelele, niliishi kwenye apartment yao miezi mitatu nikanyoosha mikono🙌Kimapenzi wanawake wa Nigeria wanapenda kutawala na kutoa amri, yaani awe juu ya mwanamume, anauwezo wa kukwambia simtaki mama yako aje hapa na utafanya hivyo. Wabinafsi wanaojipenda sana wenyewe, tena ukimpata mwenye pesa ndio ujue umekwishaaaaa. Wanakabaaaa balaaa, hupati muda wa kuwa peke yako lazima ajue uko wap, na nani na unafanya nini. Simu yako ni yake!!!
Hiyo picha ni AI mkuu hata usiamini wabongo na nongwa zao tuVijana wa siku hizi wana utoto sana. Hawajui sababu ya yeye kuwa hivyo ila wanatunga sababu zao. Maisha yanamapito mengi kuna kuugua
Ni ya jux mkuu kapost mwenyewe nenda insta, dada yake jux KASEMA eti amejikondesha mwenyewe anataka kua na mwili kama huo eti wakitajirihiyo pic ni ya jux kweli au AI? mbona huzuni nimepata mimi
Jamaa kweli amekonda ila picha iliyotumika hapo ni AI yaani amekondeshwa zaidiNi ya jux mkuu kapost mwenyewe nenda insta, dada yake jux KASEMA eti amejikondesha mwenyewe anataka kua na mwili kama huo eti wakitajiri
Baada ya harusi duka lake likavamiwa na waandamanaji oct 29, show ya Nigeria kubwa kuliko ikabuma , tusichukulie poa jamaa yupo Kwa kipindi kigumuChezea harusi tatu na sherehe kila wiki na zote utoe hela wewe halafu hela inatoka tu haingii lazima uwe stressed. Mwili haudanganyi
aiseee, basi kama kaamua pekeake tumpe hongera zake,, kaamua kujimalizaNi ya jux mkuu kapost mwenyewe nenda insta, dada yake jux KASEMA eti amejikondesha mwenyewe anataka kua na mwili kama huo eti wakitajiri
Madai yake Vee asimuone boyaa😂😂🤣🤣Aliona pis za bongo hazimfai acha akomeshwe😂
Sio AI mkuu, kawa kishingo cheza...sema kashajibu kuwa amejipunguza kimakusudikali kitambi kilikuwa kinamtesa🤣🤣🤣🤣Si kweli ,hawezi kuisha namna hiyo.