Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Aizat mamboMadai yake Vee asimuone boyaa😂😂🤣🤣
Kwa jinsi navyowajua wanigeria hata huyo Vanessa anateseka kichizi, Wana manipulate balaa
Wote wangese tu Vee na Jukusi, ila kidogo uanamke unambeba Vee
Sawa ila wameongeza chumvi haja konda kiasi hichoSio AI mkuu, kawa kishingo cheza...sema kashajibu kuwa amejipunguza kimakusudikali kitambi kilikuwa kinamtesa🤣🤣🤣🤣
Aizat nikwambie kituSio AI mkuu, kawa kishingo cheza...sema kashajibu kuwa amejipunguza kimakusudikali kitambi kilikuwa kinamtesa🤣🤣🤣🤣
Kwa Yesu🙏Aizat mambo
Tumsifu yesu kristo🙏Kwa Yesu🙏
Aizat Nina zawadi YakoKwa Yesu🙏
Kuna ile uzuri mtu anayetaka kulia tunamjua 😂😂Sawa bebii😅
Watu comment section wanasema kuongea kingereza kila siku kuna mkomdesha juma 🤣🤣
Kuna aka comment " Nipostie picha moja ya Jux akiwa na kitambi zawadi milioni moja "🤣🤣Sio AI mkuu, kawa kishingo cheza...sema kashajibu kuwa amejipunguza kimakusudikali kitambi kilikuwa kinamtesa🤣🤣🤣🤣
Na ile ya jamaa anaongea kiingereza kila siku asubuhi hadi usiku lazima akonde, kiingereza kigumu nyie acheni 🤣🤣🤣Kuna ile uzuri mtu anayetaka kulia tunamjua 😂😂
Walahi wabongo tuna gubu pro max.
Duh aisee kama ni hivyo basi ana haki ya kukondaBaada ya harusi duka lake likavamiwa na waandamanaji oct 29, show ya Nigeria kubwa kuliko ikabuma , tusichukulie poa jamaa yupo Kwa kipindi kigumu
Na kuna watu wanasema ana madeni pia harusi ilimuacha na madeniBaada ya harusi duka lake likavamiwa na waandamanaji oct 29, show ya Nigeria kubwa kuliko ikabuma , tusichukulie poa jamaa yupo Kwa kipindi kigumu
Kufa hatokufa ila cha moto anakionaNi mkewake ni maisha yake.. Wapambe kaeni kando punguzeni ushauri😀
Maoni yanamhusu juma jux ambaye ndiye subject kwenye huu uzi so maoni hayo kwenye jukwaa hili ni sahihi.Hii ni page ya burudani sio ya siasa Kuna jukwaa lake la siasa nenda katoe maoni yako kule
Mmmmh kuna mtu kasema alikopa CRDB milioni 500🙆🙆Na kuna watu wanasema ana madeni pia harusi ilimuacha na madeni
Mmmmhhh mbona alikuwa hana kitambi yule JOMBA .hivi kitambi anakijua?Sio AI mkuu, kawa kishingo cheza...sema kashajibu kuwa amejipunguza kimakusudikali kitambi kilikuwa kinamtesa🤣🤣🤣🤣
Hata Priscila mwenyewe hajakaa kinyonge, umeona comebacks zake? Kuna screenshot niliona amejibu na sticker inasema ' He won't leave because pvssy is so good ' 🤣🤣🤣Ukitaka ucheke ufe nenda kwenye comment section ya wabongo insta au ticktock.
Lowkey wabongo wengi ni comedians.
Hiyo ya Kiingereza inaweza kuwa sababu ya kukonda 🤣🤣🤣Ndoa bwana hapo inamkera kuicha anaogopa.
Chakula pia inawezekana kinamsumbua
Kazi anayo na kingreza kutwa aisee🙆
🤣🤣🙌 mi navyopenda kuchekaKuna ile uzuri mtu anayetaka kulia tunamjua 😂😂
Walahi wabongo tuna gubu pro max.