JUX na Vee Money mpambano unaendelea

Mama Mkwe wa JUKISI namuona kwenye The Real Housewives of Lagos.
 
Hivi Jux ana mchango gani hapa Tanzania kwani hata kuimba hajuwi, analazimisha tu. He is a nobody.......suala la kuoa Nigeria si geni kwa Watanzania kwani hata kwetu nina mdogo wangu anayenifuatia naye alishaoa huko toka mwaka 2001, so suala la Jux kuoa Nigeria si geni kwa wengine. Kuna wabongo wengi tu hawana mpango na mademu wa kibongo. Jux kama anafanya vitu kumuiga ama kumkomoa V-Money atakuwa anajisumbua tu kwani mwenzake alishamove on na kumzalia Mlapopo wake.
 
Hizi sio taarifa ni mawazo yako tu kwahiyo tunaacha kama ilivyoandikwa
 
Juma ndo anateseka sana kuachana na vee, na alikiri aliachwaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Namuonaga kama ana kakuzubaa flani kwenye mahusiano wanawake wanamzidi nguvu, km huyo V ndo kabisa alimuacha parefu ni wale wanaume unaweza kumfokea na asikufanye kitu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…