mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Tizama hapa kinachosadikiwa kua mwanzo wa marudiano ya wawili hawa.
Ni baada ya Vanessa kushinda jiwe bora la mwezi linalotolewa na clouds FM na kumuomba JUX kupanda nae stegin.
Mahug kibao na kelele nyingi from Raiaa. Wacha tuoni whats gonna happen
Sent using Jamii Forums mobile app