Jux rappa; Namshauri dogo atafute 'kiki'

Sasa atafte kiki gani?....kutoboa ni kipaji mkuu sio kufanana na mtu.....kuna jamaa hapa mtaani kwetu misuri kama Rambo sema wadau wanampumulia.
Aaaah siwezi kupumulia mwanaume mwenye misuli kama Rambo bora James delicious ana muonekano wa kidemu
 
Mimi mbona naona hawafanani hata kidogo, au mtoa mada ndiyo mwenye picha umeamua kuja kutafuta kiki??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…