Jux : " Trey songz ni mmerekani mwenye uswahili ndani yake

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Huenda Jux akawa amemfuta kabisa Trey Songz
kwenye orodha ya ma-role model wake tangu
ashiriki kwenye wimbo mmoja na Vanessa Mdee
na kutengeneza ukaribu usio wa kawaida!

Japo ameiongea kwa utani, lakini Jux ameonesha
kila dalili ya kukerwa na bingwa huyo wa nyimbo
za chumbani.
Tangu Vee na Trey wawe gumzo Afrika kufuatia
kukutano kwao Nairobi kwenye Coke Studio, Jux
hajaongea lolote kuhusiana na alivyochukulia
yote yaliyotokea. Lakini kwa swali la Salama
Jabir, Jux ametoa sehemu ya yaliyopo moyoni
mwake.
Haya ni mazungumzo mafupi ya Salama na Jux
kwenye Twitter:
Salama: Shemeji Za Leo?
Jux: Safi tu shem! U good?
Salama: I’m Good Shemeji… Naona Uko Juu…
Jux: Shem safari hii ni kuwa [HASHTAG]#Juu[/HASHTAG] tuu…
nachanganya kidogo na [HASHTAG]#Wivu[/HASHTAG] wa hapa na pale..
Then siku zinaenda tunaendelea kuwa [HASHTAG]#Juu[/HASHTAG]!
Salama: Vizuri Mno, Maana Trey Collabo
Hajapata… Wewe Ndo [HASHTAG]#Juu[/HASHTAG] Kabisa!
Jux: Trey mshenzi tu alitaka kujifanya eti yeye
ndo mimi! Yule Mmarekani ana uswahili ndani
yake..!

Ikimbukwe jux alishawahi sema trey songz ni moja ya ma role model wake na alichora hadi tatoo yake
 
Ina maana kuchepuka na na Mchuchu wake ndio Uswahili huo?

Au kitandani alikuwa anakatika kisingeli na vanessa?
Kwani ni kweli kamegewa na jamaa
Itakuwa noma kweli yaani role model wako anakumegea demu wako
 
Reactions: MC7
Jux ana Mziki Mmoja wenye hisia sana,
Me Binafsi namwelewa sana Mshikaji kwa Nyimbo zake za RNB,
Namshauri tu apate Management ya Kueleweka ili atoboe, Kwa sababu ana nyimbo nzuri lakini anapaswa abadili Mavazi kidogo, halafu awekeze sana katika Video Naamini atatoboa fasta.
 
Dah anamuacha dem wake gerezan anafuatilia wadwanz hawa.
 
Kumbe katafuniwa kweli?,Mimi nilijua Ni story za kujipa promo tu?
 
Huenda jux huwa hamkazi haswa haswa
 
Dah! Yaani Salama mchonganishi si kidogo! Yaani hata hiyo Shemeji alivyokuwa anaikadhani unajua kabisa ilikuwa ni ufukunyukufukunyuku!!
 
Dah! Yaani Salama mchonganishi si kidogo! Yaani hata hiyo Shemeji alivyokuwa anaikadhani unajua kabisa ilikuwa ni ufukunyukufukunyuku!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mbona kuna mshkaji sehemu flani alisema huyu demu lesb, Jux anapita tu kutoboa kimziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…