Wakuu hawa jamaa ni wakali wa muziki hapa kwetu Tanzania. Hawa jamaa pia ni wakali wa kutupia pamba kali zinazowapendeza. Wewe binafsi kura yako utampa nani kati ya Jux Vuitton na Diamond Platnumz kwenye kutupia pamba kali?
hizi ni zile suruali za kina dada za kubana hips,mtoto wa kiume unabana hips,flaiz inch3 badala ya 6 sijui huwa wanakojoa vip mkienda msalani,au nanyi mnachutama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.