donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Huyu jamaa nilianza kumkubali tangu ngoma yake ile ya napata raha. Then nikamsikia kwenye chorus kadhaa za kwenye baadhi ya hit songs, ila hii ngoma yake mpya 'Uzuri wako' ni kali kuanzia audio na video ndio balaaa. Sio siri kijana mwenzetu anajitahidi sana,hususani katika mavazi naona jamaa yuko poa sana. Big up Jux.




