donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Huyu jamaa nilianza kumkubali tangu ngoma yake ile ya napata raha. Then nikamsikia kwenye chorus kadhaa za kwenye baadhi ya hit songs, ila hii ngoma yake mpya 'Uzuri wako' ni kali kuanzia audio na video ndio balaaa. Sio siri kijana mwenzetu anajitahidi sana,hususani katika mavazi naona jamaa yuko poa sana. Big up Jux.
jamaa anaweza...huwa sichoki kumsikiliza..
kuna hits nyingine kama...
*niwe nawe
*ninapokuwa nawe
*mwambie yeye
*nimedata
ni noma sana!!
personally jux katika kuimba simkubali sana ila katika mitupio ni among wakali wanaonipa stress..anajua kuvaa mnyamwezi na nguo zinamkaa
personally jux katika kuimba simkubali sana ila katika mitupio ni among wakali wanaonipa stress
anakupa stress kwny kuvaa? kwani huwa mnashndana? mwambie hemed atoe ngoma kali kwani hasikiki kabsa!