Juza Fashion ndio Mpango Mzima, Nunua Nguo za Kike, Kiume na Watoto (Malipo ni Baada ya Kupokea Mzigo)

muvika online

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
374
Reaction score
283
Wakati tunaelekea Msimu wa Christmas na Mwaka Mpya basi Sikia hii

JUZA FASHION ni Kampuni ya Uuzaji, Utangazaji na Usambazaji wa Nguo Africa Mashariki na Kati, Hivyo basi Kupitia kwenye Website au Application yao Kuna nguo (Fashion) Mbali Mbali za Wanaume, Wanawake na Watoto wanazouza kwa Gharama nafuu Kiasi kwamba ukinunua Nguo 2 au 3 ndio unapata Gharama ambayo Ungeenda kununulia Dukani, hivyo basi wewe kama Mteja Ukipenda Nguo iliyomo kwenye Website & Application yao Unaweza Kuweka Oda humo humo au Ukawapigia Simu wakakuwekea oda, Baada ya hapo Hatua Inayofuata ni wao kuisafirisha Kuja hadi Unapoishi (Inachukua Siku 7 - 14 Nguo yako Kufika), na ili kukuhakikishia usalama na Ubora zaidi Unaweza Kulipia Baada ya Kupokea Mzigo au Kabla ya Kupokea Mzigo (Chaguo ni lako).

Sababu 3 Zilizonifanya Hadi Leo hii Kuja Kuwaelezea hapa
- Nguo zao ni Orginal kutoka USA, Thailand na China
- Unaweza Kulipia baada ya kuuona Mzigo wako
- Ikiwa Ndio Mala yako ya Kwanza kununua nguo kwao unapata Punguzo la 10% (Ukiweka oda kupitia Application)

Hitimisho
Download App: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.juzafashion.juzafashion
Website: Juza Fashion - Womens Plus Size Trends & Mens Fashion Styles Online
FB Page: https://www.facebook.com/juzafashiontz
Simu: 0738687681 (Unapotaka Kuweka oda hakikisha Umeingia kwenye Tovuti yao kwanza na kuchagua nguo ambayo ndio utaiwekea oda sio uwapigie kwaajili ya Kuwaulizia Nguo Flani kama wanayo)

**Maoni yako ni Muhimu Sana**





 
Asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…