Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Sipendi mtu akichezea akili za mwanamke... Sio akili nzuri hata kidogo.. Mwanamke kaumbwa hivyo.. Jiheshimu dogo.. Utakuja kupata laana siku moja...
 
Nataka kujuwa una kaz au unasoma labda maana umetumia muda mwmg kufikiri alafu inatakiwa ujitambuwe saizi c muda wa ma ex
 
"Wape vitamu tu mzee jay"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…