Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Kati ya hao 10& 1 Saba kwa sasa wana ngoma utakufa shauri yako
 
Nilichogundua wewe ni form leaver na unasubiri matokeo
 
Kapime NGOMA hili kama vipi uanze vidonge mapema!?
 
Bado Tata Una akili za chuoni maliza uje mtaani uone.
 
Hapana Ni Rahisi Mura
Chuo Si Unaomba Guka unapewa simple and easy Njo kitaa Guka haipatikani khvo.
 
kuwapa hela kwani ni starehe?

Si umesema wanawake ni chombo cha starehe mkuu? garamia pia coz starehe ni garama. hakuna starehe ya bure duniani. kuwapa hela ndo garama zenyew hizo za starehe. so wakiwaomba msije huku kulialia
 
Si umesema wanawake ni chombo cha starehe mkuu? garamia pia coz starehe ni garama. hakuna starehe ya bure duniani. kuwapa hela ndo garama zenyew hizo za starehe. so wakiwaomba msije huku kulialia

ntagaramia lakini sio kumpa ,,hivyo ni vitu viwili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…