Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

Ukweli suala la
Biasharamwendokas serikali usimamizi umewashinda,
Nadhani ni wakati muafaka wapewe wawekezaji,serikali iendelee kumiliki miundo mbinu
kama inavyomiliki barabara,wamiliki wa daladala wanafanya biashara wanalipa kodi..

Raia tunaotokea maeneo ya kimara na mbezi kwenda posta tunapata taabu sana.
Kama vipi ziwepo daladala za kutoka maeneo hayo kwenda kkoo na posta ili kuusaidia mwendokasi,
Kiukweli tunateseka,na mwendokasi wameishazidiwa ila hawataki kukiri huo ukweli.
 

DART Mwendokasi
Fanyeni maarifa Watu wanahangaika
 
Mtoa hoja kwa hiyo umekuja na wewe kulalama huku JF!!,why hamkufanya push back hapo kituoni?,mngevamia na kukalia njia ya mwendokasi, serikali nzima wangehamia hapo,vipi hukuziona V8 zenye AC na Blue lights zikipita hapo pembeni kwa kasi?,watanzania ni watu wa kulalama na woga wa kuchukua maamuzi magumu, push back
 
Mmeambiwa mji ni dar tu? Dar unaishije huna hata kagari ka kuzugia?
 
Kuzaliwa Africa ni laaana!!! Bara Hili lina hitaji spiritual healing.
Tatizo sia bara mkuu, sehemu yoyote alipo mtu mweusi huambatana na laana. Tazama haiti huko. Na ndio maana hata kwenye jamii za wamarekani middle class maeneo wanayoishi huwa wanajitahidi kwa namna yeyote mtu mweusi asiishi eneo hilo, ikitokea weusi wameanza kuishi maeneo hayo wao taratibu huanza kujiondoa na kwenda kutengeneza mazingira sehemu nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…